Nenda kwa yaliyomo

Kieruwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kieruwa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waeruwa. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kieruwa imehesabiwa kuwa watu 64,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kieruwa iko katika kundi la Kiedoidi.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kieruwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.