Kiejagham
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kiejagham (lugha))
Kiejagham ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria na Kamerun inayozungumzwa na Waejagham. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiejagham imehesabiwa kuwa watu 67,300 nchini Nigeria na watu 49,400 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiejagham iko katika kundi la Kiekoidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiejagham kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiejagham Archived 30 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiejagham katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/etu
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiejagham kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |