Kidzongkha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidzongkha ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Bhutan na Uhindi inayozungumzwa na Wadzongkha. Nchini Bhutan, Kidzongkha ni lugha rasmi na ya taifa. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kidzongkha nchini Bhutan imehesabiwa kuwa watu 160,000. Pia kuna wasemaji 11,000 nchini Uhindi (2007). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidzongkha iko katika kundi la Kibodish.

Wikipedia
Wikipedia
Kidzongkha ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidzongkha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.