Kidusun cha Kati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kidusun ya Katikati)

Kidusun ya Katikati ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wadusun. Lahaja kubwa hasa ni Kibundu na Kiranau. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kidusun ya Katikati imehesabiwa kuwa watu 141,000, pamoja na Wabundu 70,000 na Waranau 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidusun ya Katikati iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidusun cha Kati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.