Kiduguri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiduguri ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waduguri. Wataalamu wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kijarawa. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kiduguri imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiduguri iko katika kundi la Kijarawan linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiduguri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.