Kidhatki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidhatki ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan na Uhindi inayozungumzwa na Wadhatki. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kidhatki imehesabiwa kuwa watu 132,000 nchini Pakistan na 16,400 nchini Uhindi. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidhatki iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidhatki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.