Kidamar-Magharibi
Mandhari
Kidamar-Magharibi (pia Kidamar-Kaskazini) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadamar kwenye kisiwa cha Damar. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kidamar-Magharibi imehesabiwa kuwa watu 800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidamar-Magharibi iko katika kundi la Kitimor-Babar.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kidamar-Magharibi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidamar-Magharibi Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidamar-Magharibi katika Glottolog
- lugha ya Kidamar-Magharibi kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidamar-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |