Kicun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kicun ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wahan. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kicun imehesabiwa kuwa watu 80,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kicun iko katika kundi la Kikra.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kicun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.