Kichiru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kichiru ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wachiru. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kichiru imehesabiwa kuwa watu 7000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichiru iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichiru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.