Kichin cha Asho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kichin ya Asho (pia Kiasho) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar na Bangladesh inayozungumzwa na Waasho. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kichin ya Asho imehesabiwa kuwa watu 30,000 nchini Myanmar na 4000 nchini Bangladesh. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichin ya Asho iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichin cha Asho kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.