Kichin-Tedim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kichin ya Tedim (pia Kitedim) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar na Uhindi inayozungumzwa na Wachin. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kichin ya Tedim imehesabiwa kuwa watu 189,000 nchini Myanmar na wasemaji 155,000 nchini Uhindi. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichin ya Tedim iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichin-Tedim kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.