Kicheq-Wong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kicheq-Wong ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia inayozungumzwa na Wacheq-Wong. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kicheq-Wong imehesabiwa kuwa watu 460 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kicheq-Wong iko katika kundi la Kimon-Khmer.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kicheq-Wong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.