Kicham-Magharibi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kicham-Magharibi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Kamboja, Vietnam na Uthai inayozungumzwa na Wacham. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kicham-Magharibi nchini Kamboja imehesabiwa kuwa watu 204,000. Pia kuna wasemaji 25,000 nchini Vietnam (2007) na 4000 nchini Uthai. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kicham-Magharibi iko katika kundi la Kichamiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kicham-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.