Kibwile

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kibwile (lugha))

Kibwile ni lugha ya Kibantu nchini Zambia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabwile. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kibwile imehesabiwa kuwa watu 24,800, takriban nusu katika kila nchi. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibwile iko katika kundi la L10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibwile kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.