Kibuyu (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibuyu ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabuyu. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kibuyu imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibuyu iko katika kundi la D50.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibuyu (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.