Kiburduna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiburduna ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waburduna katika jimbo la Australia ya Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiburduna ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiburduna kiko katika kundi la Kikanyara.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiburduna kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.