Kibudza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kibudza (lugha))

Kibudza ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabudza. Mwaka wa 1985 idadi ya wasemaji wa Kibudza imehesabiwa kuwa watu 226,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibudza iko katika kundi la C40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibudza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.