Kibosmun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibosmun (au Kibosngun) ni lugha ya Kiramu na Kisepik ya Chini nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wabosmun. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kibosmun imehesabiwa kuwa watu 1300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibosmun iko katika kundi la Kiottilien.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibosmun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.