Kiblagar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiblagar ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wablagar kwenye visiwa vya Pantar, Pura na Ternate. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kiblagar imehesabiwa kuwa watu 11,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiblagar iko katika kundi la Kialor-Pantar.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiblagar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.