Nenda kwa yaliyomo

Kibiritai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibiritai ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabiritai. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kibiritai imehesabiwa kuwa watu 250. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibiritai iko katika kundi la “Lakes Plain”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibiritai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.