Kibidayuh-Biatah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibidayuh ya Biatah (pia Kilandu) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia na Indonesia inayozungumzwa na Wabiatah kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibiatah imehesabiwa kuwa watu 63,900 nchini Malaysia na 8480 nchini Indonesia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibiatah iko katika kundi la Kiland-Dayak.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibidayuh-Biatah kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.