Kibenggoi
Jump to navigation
Jump to search
Kibenggoi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabenggoi kwenye kisiwa cha Seram. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kibenggoi imehesabiwa kuwa watu 350 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibenggoi iko katika kundi la Kimaluku.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- lugha ya Kibenggoi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibenggoi
- lugha ya Kibenggoi katika Glottolog
- lugha ya Kibenggoi kwenye Ethnologue
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibenggoi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |