Kibench
Mandhari
Kibench ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wabench. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kibench imehesabiwa kuwa watu 174,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibench iko katika kundi la Kiomotiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibench kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibench Archived 30 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibench katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bcq
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibench kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |