Kibefang
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kibefang (lugha))
Kibefang ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabefang. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibefang imehesabiwa kuwa watu 2980. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibefang iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibefang kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibefang Archived 2 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibefang katika Glottolog
- Tovuti ya Ethnologue kuhusu Kibefang
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibefang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |