Kibedoanas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kibedoanas ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabedoanas kwenye kisiwa cha Papua. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibedoanas imehesabiwa kuwa watu 180 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibedoanas iko katika kundi la Kibomberai.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibedoanas kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.