Kibarngarla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibarngarla (pia Kiparnkalla au Kibanggarla) ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wabarngarla katika jimbo la South Australia. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kibarngarla ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibarngarla kiko katika kundi la Kiyura.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibarngarla kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.