Kibarakai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kibarakai (pia Kiworkai) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabarakai kwenye visiwa vya Barakai na Gomo-Gomo. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kibarakai imehesabiwa kuwa watu 4450. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibarakai iko katika kundi la Kiaru.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibarakai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.