Kibangolan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kibangolan (lugha))

Kibangolan ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabangolan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibangolan imehesabiwa kuwa watu 13,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibangolan iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibangolan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.