Kibangandu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kibangandu (lugha))

Kibangandu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabangandu. Mwaka wa 1977 idadi ya wasemaji wa Kibangandu nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 2700. Pia kuna wasemaji wachache nchini Jamhuri ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibangandu iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibangandu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.