Kibanda ya Kati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kibanda-Kusini-Kati)

Kibanda ya Kati ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Sudan Kusini inayozungumzwa na Wabanda wa Kati. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kibanda ya Kati nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati imehesabiwa kuwa watu 100,000. Pia kuna wasemaji 2000 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wasemaji nchini Sudan Kusini haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibanda ya Kati iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibanda ya Kati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.