Kibafut

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kibafut ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabafut. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kibafut imehesabiwa kuwa watu 105,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibafut iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibafut kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.