Kiayta cha Abellen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiayta ya Abellen)

Kiayta ya Abellen ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waayta. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kiayta ya Abellen imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiayta ya Abellen iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiayta cha Abellen kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.