Kiatsam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kiatsam ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waatsam. Mwaka wa 1972 idadi ya wasemaji wa Kiatsam imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiatsam iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiatsam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.