Kianufo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kianufo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana, Togo na Benin inayozungumzwa na Waanufo. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kianufo nchini Ghana imehesabiwa kuwa watu 66,000. Pia kuna wasemaji 57,000 nchini Togo na 13,800 nchini Benin. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kianufo iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kianufo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.