Kiantakarinya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiantakarinya ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Waantakarinya katika jimbo la South Australia. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kiantakarinya ilihesabiwa kuwa watu sita tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiantakarinya kiko katika kundi la Kiwati.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiantakarinya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.