Kiansus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiansus ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waansus kwenye visiwa vya Serui na Miosnum. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kiansus imehesabiwa kuwa watu 4600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiansus iko katika kundi la Kiyapen.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiansus kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.