Kianeityum

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kianeityum ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Waaneityum kwenye kisiwa cha Aneityum. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kianeityum imehesabiwa kuwa watu 900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kianeityum iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kianeityum kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.