Kiamri-Karbi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiamri (au Kiamri-Karbi) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakarbi. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiamri imehesabiwa kuwa watu 130,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiamri iko katika kundi la Kimikir. Wasemaji wa Kiamri huiangalia lugha yao kama lahaja ya Kikarbi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiamri-Karbi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.