Nenda kwa yaliyomo

Kiallar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiallar ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Waallar. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kiallar imehesabiwa kuwa watu 350. Uainishaji wa Kiallar kwa ndani zaidi haijulikani.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiallar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.