Kiaka (Kongo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiaka ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo na Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Waaka. Isichanganywe na lugha ya Kiaka nchini Sudan wala na lugha za Kiyaka. Mwaka wa 1986 idadi ya wasemaji wa Kiaka nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 15,000; na mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji nchini Afrika ya Kati imehesabiwa kuwa watu 15,000 vilevile. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiaka iko katika kundi la C10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaka (Kongo) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.