Kiadasen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Adasen language map.png

Kiadasen ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waadasen. Idadi ya wasemaji wa Kiadasen imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiadasen iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiadasen kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.