Kiachang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiachang ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar na Uchina inayozungumzwa na Waachang. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kiachang nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 27,700. Pia kuna wasemaji 35,000 nchini Myanmar (2007). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiachang iko katika kundi la Kiburmiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiachang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.