Kia Mariga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

0°32′23″S 37°27′32″E / 0.53972°S 37.45889°E / -0.53972; 37.45889

Kia Mariga (pia: Kwa Mariga, ama Mariga tu) ni eneo katika Kaunti ya Embu nchini Kenya. Ni mahali ambapo sehemu ya vita vya Mau Mau vilifanyika.

Kikundi cha Mau Mau kilichopigana na Waingereza hapo kiliongozwa na anayejulikana kama Meja Blue[1].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Kareithi, P. M. (1969). Kaburi bila msalaba (in sw). East African Pub. House.