Kia'ou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kia'ou ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wagelao. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kia'ou imehesabiwa kuwa watu 50 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kia'ou iko katika kundi la Kikra.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kia'ou kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.