Khatijah Yusoff
Mandhari
Khatijah Mohamad Yusoff (alizaliwa 1956) ni mwanataaluma na mtaalamu wa virusi kutoka Malaysia. Utafiti wake kuhusu virusi vya ugonjwa wa mdondo au kideri (NDV), ambao huathiri kuku, umepata kutambuliwa ndani ya nchi na kimataifa. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Khatijah Yusoff kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |