Nenda kwa yaliyomo

Khassan Baiev

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Khassan Zhunidovich Baiev (Alizaliwa Aprili 4, 1963) ni daktari bingwa wa upasuaji mwenye asili ya Chechnya na uraia wa Urusi na Marekani. Alifanya operesheni nyingi chini ya hali ngumu wakati wa Vita vya Pili vya Chechnya. Anajulikana zaidi kama mwandishi wa kumbukumbu mbili, The Oath: A Surgeon Under Fire na Grief of My Heart: Memoirs of a Chechen Surgeon. Alihamia Needham, Massachusetts mwaka 2000 baada ya kupata hifadhi ya kisiasa nchini Marekani.[1][2]

  1. ↑ Daniloff, Caleb (Februari 23, 2003). "For Chechens, a fighting chance". calebdaniloff.com. The Boston Globe. Iliwekwa mnamo Agosti 26, 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ "Author Biography – Khassan Baiev". TheOathBook.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Agosti 19, 2008. Iliwekwa mnamo Januari 22, 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Khassan Baiev kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.