Khalid Mohamed

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Khalid Mohamed aka TID, 2015

Khalid Mohamed (amezaliwa Dar es Salaam, 1981) ni mwanamuziki wa Bongo Flava kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kama T.I.D. ("Top in Dar").

Ameimba nyimbo nyingi maarufu nchini Tanzania. Kati ya nyimbo hizo ni Mrembo, Zeze, Girl Friend, Siamini na nyingine nyingi alizowahi kuimba na baadaYe kuwa maarufu.

Maisha ya Mwanzo[hariri | hariri chanzo]

TID alizaliwa kama Khalid na ni mtoto wa mwisho katika familia yao. TID alipata elimu ya msingi 1989 hadi 1996, na baadaye kumaliza elimu ya Sekondari mwaka 2000. Katika kipindi cha mwaka huohuo TID akawa anasomea masuala ya uhandishi kwa muda wa miezi minane na kuhitimu huku akichukua kozi ya kompyuta jijini Dar es Salaam.

Albamu Alizotoa[hariri | hariri chanzo]

'Sauti ya dhahabu' aliyoshirikisha wasanii kama Jay Moe

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Musical notes.svg Makala hii kuhusu muziki wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Khalid Mohamed kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.