Nenda kwa yaliyomo

Khalid

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Khalid

Khalid (alizaliwa 1998) ni msanii wa muziki wa hip hop ambaye mpaka sasa ni maarufu kwa kutoa nyimbo zake nzuri sana. Mpaka sasa Khalid ana jumla ya views karibia 1000001 huko youtube kwa kutoa album zake nyingi sana na pia Khalid ana followers wengi sana hata huku instagram amekuwa akiendelea kwa hatua kubwa sana. Kalid ana jumla ya utajiri wa fedha taslim bilioni saba; fedha hizo kazipata sababu ya muziki wake.

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Khalid kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.