Nenda kwa yaliyomo

Kevin Systrom

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kevin Systrom (alizaliwa Desemba 30, 1983) ni msanidi programu wa kompyuta na mjasiriamali nchini Marekani. Alianzisha Instagram, pamoja na Mike Krieger. Baada ya kuondoka Instagram, alikuwa mwekezaji wa Benchmark na alianzisha kampuni ya usafiri ya Artifact[1].

  1. "Walmart Releases 2018 Annual Report, Proxy Statement, Global Responsibility Report and Global Ethics and Compliance Program Update" (kwa American English). Walmart. Aprili 20, 2018. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Juni 27, 2019. Iliwekwa mnamo Juni 17, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kevin Systrom kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.