Nenda kwa yaliyomo

Kevin McKenna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
McKenna mwaka 2019

Kevin James McKenna (alizaliwa Januari 21, 1980) ni mchezaji wa zamani wa kitaalamu wa mpira wa miguu aliecheza kama mlinzi wa kati na sasa ni msaidizi wa meneja wa klabu ya FC Union Berlin ya Bundesliga. Wakati mwingine alicheza pia kama kiungo wa kati au mshambuliaji.[1][2][3]



  1. "Paul Stalteri profile". paulstalteri.com. Iliwekwa mnamo 20 Mei 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "McKenna seals Cottbus deal".
  3. Mamrud, Roberto (29 Februari 2012). "Canada - Record International Players". RSSSF. Iliwekwa mnamo 20 Mei 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kevin McKenna kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.